Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania- TCAA Bw. Yessaya Mwakifulefule kulia akipokea zawadi kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania- TPA Bw. Nicodemus Mushi , alipotembelea banda la TPA katika maonesho ya kimataifa ya Wakulima Nanenane 2023 Mkoani Mbeya.
Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania- TCAA Bw. Yessaya Mwakifulefule kulia akisaini kitabu cha wageni wakati, alipotembelea banda la TPA katika maonesho ya kimataifa ya Wakulima Nanenane 2023 Mkoani Mbeya.
Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania- TCAA Bw. Yessaya Mwakifulefule (wa pili kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania- TPA, (wa tatu kushoto), ni Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa – TPA Bw. Nicodemus Mushi
(PICHA NA: HUGHES DUGILO)