Home BUSINESS MENEJA WA MAWASILIANO NA MASOKO TCAA ATEMBELEA BANDA LA TPA MAONESHO YA...

MENEJA WA MAWASILIANO NA MASOKO TCAA ATEMBELEA BANDA LA TPA MAONESHO YA NANENANE MBEYA

Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania- TCAA Bw. Yessaya Mwakifulefule kulia akipokea zawadi kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania- TPA Bw. Nicodemus Mushi , alipotembelea banda la TPA katika maonesho ya kimataifa ya Wakulima Nanenane 2023 Mkoani Mbeya.

Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania- TCAA Bw. Yessaya Mwakifulefule kulia akisaini kitabu cha wageni wakati, alipotembelea banda la TPA katika maonesho ya kimataifa ya Wakulima Nanenane 2023 Mkoani Mbeya.

Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania- TCAA Bw. Yessaya Mwakifulefule (wa pili kushoto)akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania- TPA, (wa tatu kushoto), ni Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa РTPA Bw. Nicodemus Mushi 

(PICHA NA: HUGHES DUGILO)

Previous articleCHILONGOLA AGRO FOREST IRINGA WAZALISHA MICHE BORA YA PARACHICHI ZAIDI YA LAKI TANO
Next articleMAUZO YA MKONGE NJE YA NCHI YAPAA, WAINGIZA DOLA MILIONI 56.8
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here