Home LOCAL WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MARY WAKISALIMIANA NA PUTIN

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MARY WAKISALIMIANA NA PUTIN

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mkewe Mama Mary Majaliwa wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Shirikisho la Urusi, Vladimir Putin, baada ya Ufunguzi wa Jukwaa la Kimataifa la Uchumi na kibinadamu uliofanywa na Rais Putin kwenye Kituo cha Mikutano na Maonesho  Expo Forum,  St. Petersburg nchini humo Julai 27, 2023. Mheshimiwa Majaliwa alimuwakilisha  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Jukwaa hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Shirikisho la Urusi, Vladimir Putin baada ya Ufunguzi wa Jukwaa la Kimataifa la Uchumi na kibinadamu uliofanywa  na Rais Putin kwenye Kituo cha Mikutano na Maonesho  Expo Forum,  St. Petersburg nchini humo Julai 27, 2023. Kushoto ni Mkewe Mama Mary Majaliwa. Mheshimiwa Majaliwa alimuwakilisha  Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Jukwaa hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here