Home LOCAL WAZIRI MKUU AWASILI ST. PETERSBURG NCHINI URUSI

WAZIRI MKUU AWASILI ST. PETERSBURG NCHINI URUSI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Fredrick Kibuta (kushoto) baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa Ndege wa Pulkovo, St. Petersburg, Urusi Julai 25, 2023. Mheshimiwa Majaliwa atamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa pili wa kilele baina ya wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here