Home LOCAL WAZIRI MKUU AWASILI ST. PETERSBURG NCHINI URUSI

WAZIRI MKUU AWASILI ST. PETERSBURG NCHINI URUSI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Fredrick Kibuta (kushoto) baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa Ndege wa Pulkovo, St. Petersburg, Urusi Julai 25, 2023. Mheshimiwa Majaliwa atamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa pili wa kilele baina ya wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Previous articleDKT. MPANGO ATOA WITO NCHI ZA AFRIKA KUWEKEZA KATIKA ELIMU NA AFYA
Next articleSIMBA KUANZIA RAUNDI YA PILI, YANGA KUIVAA DJIBOUTI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here