Home BUSINESS KIKAO KAZI CHA KUPITISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA...

KIKAO KAZI CHA KUPITISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI NCHINI

Mchumi Mwandamizi kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Bw. Francis Makusaro akiongoza kikao kazi cha kupitia mapendekezo ya mpango wa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji Nchini (Mkumbi/Blue Print) kuhusu sheria zinazosimamia biashara ya vyakula vya mifugo ndani na nje ya nchi kilichofanyika kwenye ukumbi wa Wizara Mtumba jijini Dodoma Julai 24 -26,2023.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Kaimu Mkurugenzi Sera na Mipango (Mifugo) Bw. Daudi Mayeji akifungua kikao kazi cha kupitia mapendekezo ya mpango wa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji Nchini (Mkumbi/Blue Print) kuhusu sheria zinazosimamia biashara ya vyakula vya mifugo ndani na nje ya Nchi kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mtumba jijini Dodoma, Julai 24-26,2023.

Sehemu ya washiriki wa kikao kazi cha kupitia mapendekezo ya mpango wa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji Nchini (Mkumbi/Blue Print) kuhusu sheria zinazosimamia biashara ya vyakula vya mifugo ndani na nje ya Nchi kilichofanyika kwenye ukumbi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mtumba jijini Dodoma Julai 24-26,2023.