Home Uncategorized KATIBU MKUU WA CCM NDUGU DANIEL CHONGOLO KUHUTUBIA MAELFU YA WANACCM KAWE...

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU DANIEL CHONGOLO KUHUTUBIA MAELFU YA WANACCM KAWE JIJINI MKOANI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mbagala Mh. Abdallah Chaurembo wakati apowasili kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe kwa ajili ya kuhutubia mkurano wa mkubwa wa hadhara mkoani Dar es Salaam leo Julai 29,2023.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Kimondoni Bw. Abbas Tarimba wakati apowasili kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe kwa ajili ya kuhutubia mkurano wa mkubwa wa hadhara mkoani Dar es Salaam leo Julai 29,2023.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akisaini kitabu cha wageni wakati apowasili kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe kwa ajili ya kuhutubia mkurano wa mkubwa wa hadhara mkoani Dar es Salaam leo Julai 29,2023.
 

Viongozi mbalimbali wakiwa katika mkutano huo unaofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es salaam leo. 

 Wananchi mbalimbali wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali kuhusu kazi ambazo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anazifanya katika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM. 

Picha mbalimbali zikionesha wananchi wakiwa wamefurika kwenye mkutano huo wa hadhara unaofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es Salaam. 

Previous articleTUTAENDELEA KUKUZA UCHUMI WA AFRIKA – PUTIN
Next articleDKT. JINGU AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAAZI WA UN WOMEN NCHINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here