Home LOCAL DKT. JINGU AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAAZI WA UN WOMEN NCHINI

DKT. JINGU AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAAZI WA UN WOMEN NCHINI

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalum Dkt. John Jingu amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la UN Women Hodan Addou kuhusu utekekezaji wa mradi wa uwezeshaji wanawake na wasichana kiuchumi na uongozi (WLER).

Mradi huo wa miaka minne (2022-2025) unaotekelezwa katika mikoa ya Arusha, Dar, es Salaam, Singida, Mtwara, Lindi na Pwani, unafadhiliwa na Serikali ya Ireland kwa ushirikiano na UN Women.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here