Home BUSINESS WAFANYABIASHARA KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA SIDO MAONESHO YA SABASABA

WAFANYABIASHARA KUTOKA AFRIKA KUSINI WATEMBELEA SIDO MAONESHO YA SABASABA

Mkurugenzi wa Masoko na Uwekezaji SIDO Bi. Shoma kibende, akiwa na wageni kutoka Afrika ya Kusini akionyesha bidhaa za wajasiriamali zilizozalishwa nchini katika Maonesho ya Biashara ya 47 ya Kimataifa yanaendelea katika Viwanja vya maonesho vya Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

SIDO inaahiriki Maonesho hayo ikiwa na wajasiriamali mbalimbali zaidi ya 100 Kutoka katika mikoa mbalimbali nchini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here