Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NAKUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI JIJINI MWANZA

RAIS SAMIA AKUTANA NAKUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI JIJINI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Dini Ikulu ndogo Mkoani Mwanza. Viongozi hao pia wamemwombea dua ya kheri katika kuliongoza Taifa la Tanzania muda mchache kabla ya kwenda kuhudhuria Tamasha la Utamaduni Bulabo tarehe 13 Juni 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here