Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NAKUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI JIJINI MWANZA

RAIS SAMIA AKUTANA NAKUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI JIJINI MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Dini Ikulu ndogo Mkoani Mwanza. Viongozi hao pia wamemwombea dua ya kheri katika kuliongoza Taifa la Tanzania muda mchache kabla ya kwenda kuhudhuria Tamasha la Utamaduni Bulabo tarehe 13 Juni 2023.

Previous articleBENKI KUU YAZUNGUMZA NA BUNGE KUHUSU HALI YA UCHUMI NA FEDHA ZA KIGENI
Next articleWAFANYAKAZI WA BARRICK NORTH MARA WALIVYOSHIRIKI MBIO ZA CAPITAL CITY MARATHON
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here