Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA BUHONGWA MWANZA

RAIS DKT. SAMIA AKISALIMIANA NA WANANCHI WA BUHONGWA MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza alipokuwa njiani akielekea Busisi kwa ajili ya kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Daraja tarehe 14 Juni, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here