
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla ya kuadhimisha miaka 25 ya Mafanikio ya Benki ya NMB inayofanyika leo tarehe 17/6/2023 Jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Mlimani City ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suruhu Hassani ni mgeni rasmi katika hafla hiyo.