Home BUSINESS CHONGOLO ATAKA MRADI WA VIJANA WA KILIMO KUKAMILIKA AGOSTI MWAKA HUU

CHONGOLO ATAKA MRADI WA VIJANA WA KILIMO KUKAMILIKA AGOSTI MWAKA HUU

  Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo ameigiza Wizara ya Kilimo kukamilisha miradi ya kilimo kwa Vijana ifikapo mwezj Agosti mwaka huu.

Chongolo amesema miradi hiyo inatakiwa ikamilike haraka ili matokeo yaliyo kusudiwa yaanze kuonekana hususan kwa kundi kusudiwa la vijana.

Chongolo amesema hayo katika Siku ya tatu ya ziara yake ya Kukagua Uhai wa Chama na Utekekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi katika Mkoa wa Dodoma.

Katika hatua nyingine,Chongolo amewataka wataalamu kukaa kwenye miradi hadi ikamilike ili kama kuna changamoto zitakazojitokeza wawajibike moja kwa moja.

Akizungumza alipotembelea mradi wa Bwawa la Msagali lilipo kata ya Ng’ambi,amesema uwekezaji wa wataalamu under sambar a na matokeo chanya katika miradi ya Kimaendeleo.

Katika Ziara hiyo Katibu Mkuu ameongoza na Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi Sophia Mjema na Katibu wa NEC-Oganaizesheni Issa Hajji Gavu.

Previous articlePICHA: HAFLA YA MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA MAFANIKIO YA BENKI YA NMB
Next articleNARCO WAWEZESHENI WANANCHI KUFUGA KIBIASHARA – CHONGOLO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here