Home LOCAL DR. TAX AFANYA ZIARA CHUO CHA DIPLOMASIA INDONESIA

DR. TAX AFANYA ZIARA CHUO CHA DIPLOMASIA INDONESIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) akiwa anaendelea na ziara yake nchini Indonesia, ametembelea Chuo Cha Diplomasia cha Indonesia.

Waziri Tax pamoja na ujumbe wake, walipokelewa chuoni hapo na Mkuu wa Chuo hicho, Bw. Mohammad Koba.

Kufuatia ziara hiyo, Tanzania na Indonesia zimekubaliana kuanzisha ushirikiano baina ya Vyuo vya Kidiplomasia, ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzoefu katika maeneo mbalimbali ikiwemo uendeshaji wa chuo na Program za mafunzo kwa Wanadiplomasia, na kubadilishama ujuzi kwa walimu na wanafunzi wa vyuo hivyo.

Previous articleTUJITOKEZE TUSAJILIWE – WADAU HUDUMA YA MAJISAFI
Next articleBoT YATUNUKIWA CHETI KWA KUANDAA MKATABA WA HUDUMA KWAMTEJA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here