Home LOCAL WAZIRI MKUUMAJALIWA AMUWAKILISHA MHE. RAIS SAMIA MAZIKO YA BERNARD MEMBE

WAZIRI MKUUMAJALIWA AMUWAKILISHA MHE. RAIS SAMIA MAZIKO YA BERNARD MEMBE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 16, 2023 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya mazishi ya Marehemu Bernard Membe iliyofanyika kijijini kwake Rondo, Chiponda Mkoani Lindi.

Akizungumza na waombolezaji katika ibada hiyo Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka watanzania kumuombea na kuenzi yote mazuri aliyowahi kufanya marehemu Bernard Kamilius Membe wakati wa uhai wake.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here