Home LOCAL WAZIRI MKUUMAJALIWA AMUWAKILISHA MHE. RAIS SAMIA MAZIKO YA BERNARD MEMBE

WAZIRI MKUUMAJALIWA AMUWAKILISHA MHE. RAIS SAMIA MAZIKO YA BERNARD MEMBE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 16, 2023 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya mazishi ya Marehemu Bernard Membe iliyofanyika kijijini kwake Rondo, Chiponda Mkoani Lindi.

Akizungumza na waombolezaji katika ibada hiyo Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka watanzania kumuombea na kuenzi yote mazuri aliyowahi kufanya marehemu Bernard Kamilius Membe wakati wa uhai wake.

Previous articleTMDA YATOLEA UFAFANUZI KUHUSU UVUMI WA DAWA AINA YA P-500 (PARACETAMOL)
Next articleTUYAENZI MEMA YA MAREHEMU BERNARD MEMBE-RAIS DKT SAMIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here