Home INTERNATIONAL RAIS DKT. MWINYI AENDELEA NA ZIARA YAKE QATAR

RAIS DKT. MWINYI AENDELEA NA ZIARA YAKE QATAR

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika mwendelezo wa ziara yake nchini Qatar, amekutana na viongozi wa kampuni ya Power International Holding.