Home LOCAL RAIS SAMIA AMFARIJI MZEE MALECELA NYUMBANI KWAKE KILIMANI, DODOMA 

RAIS SAMIA AMFARIJI MZEE MALECELA NYUMBANI KWAKE KILIMANI, DODOMA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, tarehe 22 Mei, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu  alipofika nyumbani kwa Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, tarehe 22 Mei, 2023, Kufuatiakifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kumfariji Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, tarehe 22 Mei, 2023

Previous articlePROFESA MKENDA KUFUNGUA MAONESHO YA NANE YA TAFITI NA UBUNIFU UDSM
Next articleRAIS DKT. MWINYI AENDELEA NA ZIARA YAKE QATAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here