Home BUSINESS JESHI LA POLISI LAIPONGEZA VODACOM KUIMARISHA AFYA NA USALAMA KAZINI

JESHI LA POLISI LAIPONGEZA VODACOM KUIMARISHA AFYA NA USALAMA KAZINI

Mkurugenzi Mendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Philip Besiimire (kushoto) akipokea cheti cha ukaguzi wa gari pamoja na stika ya usalama barabarani kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania, Michael Deleli (kulia) wakati alipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam kujifunza namna inavyozingatia masuala ya afya na usalama mahala pa kazi.

Ziara fupi ya uongozi wa Jeshi la Polisi la Tanzania ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Afya na Usalama Mahala pa Kazi inayosherehekewa Aprili 28 ya kila mwaka.

Kamishna msaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania, Michael Deleli akiwa Pamoja na Mkurugenzi Mendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Philip Besiimire, wakikagua injini ya mojawapo ya gari la kampuni hiyo walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam kujifunza namna inavyozingatia masuala ya afya na usalama mahala pa kazi.

Ziara fupi ya uongozi wa Jeshi la Polisi la Tanzania ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Afya na Usalama Mahala pa Kazi inayosherehekewa Aprili 28 ya kila mwaka.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here