Home LOCAL SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YAWEKA KIPAUMBELE ZAIDI KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YAWEKA KIPAUMBELE ZAIDI KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA BARABARA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana na Mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,aliyefika Ikulu Jijini Zanzibar leo kujitambulisha na mazungumzo ya pamoja.[Picha na Ikulu] 02/05/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na Mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,alipofika kujitambulisha Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao.[Picha na Ikulu] 02/05/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Mattle,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakati wa mazungumzo akiwa na ujumbe wake (hawapo pichani).[Picha na Ikulu] 02/05/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Battle (wa tatu kushto) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 02/05/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Battle,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa ajili ya Mazungumzo.[Picha na Ikulu] 02/05/2023.

IDARA YA MAWASILINO, IKULU ZANZIBAR

Previous articleSUA YAADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
Next articleJESHI LA POLISI LAIPONGEZA VODACOM KUIMARISHA AFYA NA USALAMA KAZINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here