Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi, anatarajia kufungua vikao vya pamoja vya Kamati ya maridhiano kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha ACT Wazalendo.
Vikao hivyo vinatarajia kuzinduliwa leo Mei 31,2023 Zanzibar.