NHC
Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AKIWASILI BURUNDI KUSHIRIKI MKUTANO WA EAC

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI BURUNDI KUSHIRIKI MKUTANO WA EAC

   

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Melchoir Ndadaye uliopo Bujumbura nchini Burundi leo tarehe 31 Mei 2023. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa 21 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika nchini Burundi.

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea MAKAMU WA RAIS AKIWASILI BURUNDI KUSHIRIKI MKUTANO WA EAC