Home LOCAL WAZIRI MKUU ATOA POLE MSIBA WA BRIG. GEN. MSTAAFU ALOYCE MWANJILE

WAZIRI MKUU ATOA POLE MSIBA WA BRIG. GEN. MSTAAFU ALOYCE MWANJILE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 08,2023 amehani msiba wa Brig. Jen Mstaafu Aloyce Mwanjile ambaye amefiwa na Mwanaye Faithnancy Aloyce Mwanjile, Nyumbani kwake Bunju mkoani Dar es salaam. Mheshimiwa Majaliwa aliongozana na mkewe Mary Majaliwa.

Previous articleMAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA YAMEKAMILIKA, WANANCHI WAOMBWA KUFURIKA
Next articleWAZIRI MKUU ATOA POLE KWA NAIBU WAZIRI UMMY NDELIANANGA KWA KUFIWA NA MKWEWE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here