Home LOCAL WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA NAIBU WAZIRI UMMY NDELIANANGA KWA KUFIWA NA...

WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA NAIBU WAZIRI UMMY NDELIANANGA KWA KUFIWA NA MKWEWE

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Aprili 08,2023 amehani msiba wa marehemu Kondo Ramadhani Tembele ambaye  ni baba mkwe wa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga, Mbezi Goba mkoani Dar es salaam.

Mheshimiwa Majaliwa aliongozana na mkewe Mary Majaliwa. Pia Msiba huo ulihudhuriwa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Hamad Hassan Chande na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonaz