Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi 17, 2023 amehani msiba wa Yonaz Enock Yonaz ambaye ni mdogo wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Jim Yonaz (kulia) nyumbani kwa Katibu Mkuu huyo, Mbezi beach Kilongawima mkoani Dar es salaam.
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!