Home LOCAL WAZIRI MKUU ATEMBELEA MAONESHO YA SIKU YA KIFUA KIKUU DUNIANI KITAIFA SIMIYU

WAZIRI MKUU ATEMBELEA MAONESHO YA SIKU YA KIFUA KIKUU DUNIANI KITAIFA SIMIYU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiteremka kutoka kwenye gari lenye maabara inayotumika kupima ugonjwa wa Kifua Kikuu katika maeneo mbalimbali wakati alipotembelea mabanda ya monyesho ya Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani yaliyofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, Machi 24, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa , Mwalimu wa panya wanaonusa na kubaini mate au makohozi yenye vijidudu vya ugonjwa wa Kifua Kikuu, Mariam Chamkwata wa Chuo Kikuu cha Kilimo, Sokoine cha Morogoro, katika maonyesho ya Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani yaliyofanyika kitaifa  kwenye uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu,   Machi 24, 2023. Wa pili kulia ni Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye uwanja a Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu kuwa mgeni rasmi katika  Maadhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani, Machi 23, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Previous articleMEJA JENERALI MBUGE “MIKOA IANZISHE TIMU YA WATAALAM YA KUKABILIANA NA  MAAFA”
Next articleWAWEKEZAJI SEKTA YA MAWASILIANO KUENDELEA KUUNGWA MKONO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here