Home LOCAL WAZIRI MKUU AFUNGA KONGAMANO LA IDHAA ZA KISWAHILI DUNIANI

WAZIRI MKUU AFUNGA KONGAMANO LA IDHAA ZA KISWAHILI DUNIANI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo ya kukienzi Kiswahili baada ya kufunga Kongomano la Idhaa za Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul – Wakil, Zanzibar, Machi 19, 2023Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul – Wakil, Zanzibar, Machi 19, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita akizungumza wakati alipomkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil, Zanzibar Machi 19, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here