Home LOCAL SHEIKH WA DSM ALHAD MUSSA SALUM ATENGULIWA

SHEIKH WA DSM ALHAD MUSSA SALUM ATENGULIWA

BARAZA la Ulamaa chini ya Mwenyekiti wake Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania limemtengua Sheikh Alhad Mussa Salum kama Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Uamuzi wa kumtengua Sheikh Alhad umekuja ikiwa imepita wiki moja tangu, kiongozi huyo alipotangaza kuivunja ndoa ya mtaalamu wa tiba mbadala, Juma Mwaka Juma maarufu kwa jina la Dk Mwaka na mkewe Queen Masanja Januari 25 mwaka huu, kufuatia ombi la mwanamke huyo kudai talaka.

Hata hivyo, siku mbili baadaye Januari 27, Baraza la Ulamaa lilikutana kwa dharura na kubatilisha uamuzi huo.

Previous articleRAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA SSRT YA NCHINI KOREA IKULU CHAMWINO DODOMA
Next articleSJMT NA SMZ ZINA USHIRIKIANO KATIKA MASUALA YA UCHUMI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here