Home BUSINESS RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AFUNGA KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA UMOJA...

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AFUNGA KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA UMOJA WA NCHI ZA ULAYA JNICC JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati akifunga Kongamano la la Uwekezaji na Biashara kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Ulaya, lililofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 24-2-2023. (Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa saini ya Makubaliano ya ushirikiano na Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya “European Investment Bank” kwa ajili ya uwezeshaji wa Wajasiriamali  Wadogo na wa Kati,baina ya Mabenki ya CRDB,NMB na KCB, kwa upande wa Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya amesaini Makamu wa Rais Bw,Thomas Ostros na kwa CRDB amesaini Mkurugenzi Mtendaji Bw.Abdulmajid Nsekela, NMB. Amesani Mkurugenzi wa Fedha, Bw.Azizi Chacha na KCB amesaini Mkurugenzi Mtendaji Bw.Cosmas Kimario. (Picha na Ikulu)

WAFANYABIASHARA kutoka Nchi za Umoja wa Ulaya na Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifunga Kongamano la Uwekezaji na Biashara kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Ulaya, lililofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 24-2-2023.

(Picha na Ikulu)

Previous articleDKT. NCHEMBA AMPOKEA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AfDB)
Next articleTANTRADE, WADAU WAKUTANA KATIKA MDAHALO MAALUM JIJINI DAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here