Home BUSINESS DKT. NCHEMBA AMPOKEA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AfDB)

DKT. NCHEMBA AMPOKEA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA (AfDB)

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina, alipowasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Darbes Salaam, kwa ziara ya kikazi.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina alipowasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Darbes Salaam, kwa ziara ya kikazi
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) wa pili kulia, Mkurugenzi wa Shirika la Reli (TRC) Bw. Masanja Kadogosa, wa kwanza kulia, Kamishna Idara ya Usimamizi wa Deni la Taifa, Bw. Japhet Justine, kushoto, wakiwa katika picha na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina, wa pili kushoto, alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), mwenye skafu ya Bendera ya Taifa, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina, ambaye yupo nchini kwa ziara ya kikazi, pamoja na ujumbe kutoka AfDB na Tanzania, baada ya Rais huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Previous articleSERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI-MAJALIWA
Next articleRAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AFUNGA KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA UMOJA WA NCHI ZA ULAYA JNICC JIJINI DAR ES SALAAM
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here