Home Uncategorized KINANA AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA NA BURUNDI...

KINANA AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA NA BURUNDI PAMOJA NA KUZUNGUMZA NA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE LA TANZANIA

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg Abdulrahman Kinana akizungumza na Kamati ya Uongozi na Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge leo wakati wakihitimisha Mafunzo ya Viongozi hao leo tarehe 28 Februari, 2023 katika ofisi ndogo za Bunge Tunguu, Zanzibar.

  Mwenyekiti Wa TCD na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara  Ndg. Abdulrahman Kinana Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa vyama vya siasa vya burundi na Tanzania uliofanyika Zanzibar leo Februari 28 Mach 2023. Mkutano huo umeandaliwa na kituo cha demokrasia Tanzania ( TCD)  na utajadili umuhimu wa majadiliano baina ya vyama vya siasa. (Picha na Fahadi Siraji CCM)

Previous articleKARIBUNI TUENDELEE KUBORESHA SEKTA YA AFYA NCHINI: WAZIRI UMMY MWALIMU
Next articleDkt.SHEKALAGHE AKABIDHIWA OFISI, AAHIDI UTENDAJI BORA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here