Home SPORTS YANGA SC YAPATA UDHAMINI WA BIL.1.5, YAZINDUA JEZI MPYA KUELEKEA SHIRIKISHO 

YANGA SC YAPATA UDHAMINI WA BIL.1.5, YAZINDUA JEZI MPYA KUELEKEA SHIRIKISHO 

KLABU ya Yanga imeingia mkataba na Kampuni ya Haier wenye thamani ya shilingi bilioni 1.5 kama mdhamini Mkuu wa  Kombe la Shirikisho Barani Afrika,

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Yanga Sc itakuwa inacheza kwenye michuano hiyo wakiwa wamevalia jezi mpya ambazo  wamezindua leo Januari 30,2023 zikiwa na mdhamini wao huyo mpya.