Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri kwa Mwaka 2023 kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2023.