Home LOCAL RAIS DKT.MWINYI AFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA MICHEWENI PEMBA.

RAIS DKT.MWINYI AFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA MICHEWENI PEMBA.

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Hospitali kubwa ya kisasa ya Ghorofa ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 03/01/2023.Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe  kufungua  Hospitali kubwa ya kisasa ya Ghorofa ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said (kulia)Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui(wa pili kushoto).[Picha na Ikulu] 03/01/2023.

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akitembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Micheweni  Leo mara baada ya kuifungua rasmi  katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia)waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Marzui.[Picha na Ikulu] 03/01/2023.

 

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Biashara za NMB Zanzibar Ndg.Naima Said Shaame (katikati) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Micheweni  Leo mara baada ya kuifungua rasmi  katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia)Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Marzui.[Picha na Ikulu] 03/01/2023

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, [Picha na Ikulu] 03/01/2023.

  Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, [Picha na Ikulu] 03/01/2023.

  Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akipokea Vifaa huduma za Afya kutoka kwa Uongozi wa Benki ya NMB vikiwemo viti vya magurudumu na vyegngine mbbali mbali wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Micheweni  Leo mara baada ya kuifungua rasmi  leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mke wa Rais  Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 03/01/2023.

Previous articleJAFO: NIMERIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO YA AFYA, ELEMU YA RAIS SAMIA
Next articleMAAFISA HABARI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII WATAKIWA KUONGEZA KASI UTANGAZAJI UTALII KUIFUNGUA DAR ES SALAAM KIUTALII
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here