Home LOCAL MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA...

MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha kwanza cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa kwa Mwaka 2023 kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Januari, 2023.

.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here