Home Uncategorized NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO KAZI CHA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU MBALIMBALI...

NAIBU WAZIRI MASANJA AONGOZA KIKAO KAZI CHA KUPITIA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU MBALIMBALI YA WIZARA

IMG-20230114-WA0115

IMG-20230114-WA0116

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Mary Masanja (Mb) ameongoza kikao kazi cha kujadili na kupitia taarifa ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya Wizara ya Maliasili na Utalii yaliyopangwa kutekelezwa katika kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba,2022.
Kikao hicho kilichohudhuriwa na Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo wa Wizara ya Maliasili na Utalii kimefanyika leo Januari 14,2023 jijini Dodoma
Previous articleMWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA CCM
Next articleBENKI YA CRDB KUSIMAMIA MFUKO WA FAIDA FUND UNAOENDESHWA NA WATUMISHI HOUSING
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here