Home LOCAL WAZIRI UMMY ATEKELEZA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS KUMTAKA KUFIKA UKEREWE KUTATUA...

WAZIRI UMMY ATEKELEZA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS KUMTAKA KUFIKA UKEREWE KUTATUA MGOGORO UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA WILAYA HIYO

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo akiwa njiani kutokea Jijini Mwanza kuelekea katika Visiwa vya Ukerewe kufuatia agizo alilotoa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Phillip Mpango Novemba 25, mwaka huu kumtaka Waziri huyo na timu yake kufika Ukerewe kuchunguza mgogoro wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya hiyo na ubadhirifu wa fedha za mradi huo.

Katika safari hiyo Waziri Ummy Mwalimu ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam Malima

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here