Home LOCAL WAZIRI UMMY ATEKELEZA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS KUMTAKA KUFIKA UKEREWE KUTATUA...

WAZIRI UMMY ATEKELEZA AGIZO LA MAKAMU WA RAIS KUMTAKA KUFIKA UKEREWE KUTATUA MGOGORO UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA WILAYA HIYO

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo akiwa njiani kutokea Jijini Mwanza kuelekea katika Visiwa vya Ukerewe kufuatia agizo alilotoa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Phillip Mpango Novemba 25, mwaka huu kumtaka Waziri huyo na timu yake kufika Ukerewe kuchunguza mgogoro wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya hiyo na ubadhirifu wa fedha za mradi huo.

Katika safari hiyo Waziri Ummy Mwalimu ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam Malima

Previous articleTGNP, KAMATI YA MTAKUWWA WAPONGEZWA KUPUNGUZA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA LUNGUYA
Next articleLENGO LA RAIS DKT. SAMIA KUHUSU UZALISHAJI WA MBOLEA LATIMIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here