Home BUSINESS WAZIRI DKT.KIJAJI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA CRYOGAS EQUIPMENT...

WAZIRI DKT.KIJAJI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA CRYOGAS EQUIPMENT JIJINI DAR

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo kuhusu Fursa za uwekezaji zilizopo Tanzania na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Cryogas Equipment Private Limited Bw. Nayan Pandya kutoka India katika Ofisi ndogo zilizopo Dar es salaam Novemba 30, 2022. Waziri Kijaji amemhakikishia Mwekezaji huyo mwenye nia ya kuwekeza katika sekta ya nishati hususan gesi asilia kuwa Serikali iko tayari kupokea uwekezaji huo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here