Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR MHE. DKT. HUSSEIN MWINYI AHUTUBIA MAADHIMISHO SIKU YA KILELE...

RAIS WA ZANZIBAR MHE. DKT. HUSSEIN MWINYI AHUTUBIA MAADHIMISHO SIKU YA KILELE CHA MWEZI WA SHUKRANI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiangalia ngoma ya Kibati walipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Kilele cha mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar mwaka 2021/2022.Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) zilizofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo leo 29-12-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022, Bodi ya Mapato Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-12-2022.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum na Kamishna wa ZRB Ndg.Yussuf J.Mwenda, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Kilele cha mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022, Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-12-2022.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Tuzo ya Mlipa Kodi Mkubwa wa Bodi ya Mapato Zanzibar.  Bwa.Actaf Jiwan wa Kampuni ya Zanzibar Petroleum,  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt.Saada Mkuya Salum na Kamishna wa ZRB Ndg. Yussuf J.Mwenda,hafla ya Maadhimisho ya kusherehekea Kilele cha mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi kwa mwaka 2021/2022,iliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-12-2022.(Picha na Ikulu)WAFANYABIASHARA  wa Makampuni mbalimbali yaliyoko Zanzibar  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022.Bodi ya Mapato Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-12-2022.(Picha na Ikulu)VIONGOZI wa Serikali na Wageni waalikwa katika Maadhimisho ya Siku ya Kilele cha mwezi wa Shukrani na Furaha kwa Walipakodi Zanzibar kwa mwaka 2021/2022, Bodi ya Mapato Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 29-12-2022.(Picha  na Ikulu)
Previous articleAFARIKI KWA KUSOMBWA NA MAJI AKINAWA MIGUU GEITA
Next articleWAZIRI UMMY MWALIMU APIGA MARUFURU YA UJENZI WA MAJENGO KWENYE HOSPITALI ZISIZO NA ‘MASTERPLAN’
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea RAIS WA ZANZIBAR MHE. DKT. HUSSEIN MWINYI AHUTUBIA MAADHIMISHO SIKU YA KILELE CHA MWEZI WA SHUKRANI