Home LOCAL MJUMBE WA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM HEMEDI SULEIMAN ABDULLA...

MJUMBE WA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM HEMEDI SULEIMAN ABDULLA ASHIRIKI MAPOKEZI YA DKT. MWINYI ZANZIBAR

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndg. Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki katika Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi yaliyoanzia Uwanja wa Ndege Kisauni Zanzibar na kumalizia Viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.

Dkt. Mwinyi ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amepokewa Zanzibar akitokea Dodoma alipochaguliwa na Mkutano Mkuu wa Kumi wa CCM Taifa kushika wadhifa huo.

Previous articleCHUO KIKUU CHA UMOJA WA AFRIKA (UAUT) CHAZINDUA JENGO JIPYA LA IBADA
Next articleWANAHABARI KEMENI UPOTOSHWAJI WA TAARIFA ZINAZOWEZA KULETA TAHARUKI KWA WANANCHI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here