Home SPORTS SIMBA SC YAICHAKAZA GEITA GOLD 5-0 KILUMBA

SIMBA SC YAICHAKAZA GEITA GOLD 5-0 KILUMBA

Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba SC imeibuka na ushindi mnono kwa kuichapa timu ya Geita Gold bao 5-0 mchezo uliopigwa kwenye Dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza.
 
Karamu hiyo ya magoli ya wababe hao wa Msimbazi yalianza kupatikana katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo yakifungwa na nahodha wa timu hiyo John Bocco na Clatus  Chama.
Katika kipindi cha pili Simba ilirudi ikiwa inahitaji mabao mengi kwani imekuwa ikishambulia kwa kasi ndipo ikafanikiwa kupata mabao mengine matatu kupitia kwa nyota wao Sakho aliyefunga mawili na goli la mwisho amefunga Kibu Dennis ambaye aliingia kipindi cha pili.
Previous articleRAIS SAMIA KUZINDUA ZOEZI LA UJAZAJI MAJI BWAWA LA KUFUA UMEME LA JULIUS NYERERE 
Next articleDAKIKA 90 SIO ARGENTINA WALA UFARANSA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here