Home LOCAL WAZIRI SIMBACHAWENE, AMPONGEZA MAMA TUNU PINDA

WAZIRI SIMBACHAWENE, AMPONGEZA MAMA TUNU PINDA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene katika uzinduzi wa Albamu ya Kwaya ya Mtakatifu Theresia, Mtoto yesu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akimkabidhi kanda ya nyimbo (CD)Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda.

Mama Mbonimpaye Mpango Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza jambo wakati wa Uzinduzi wa Albamu ya Kwaya ya Mtakatifu Theresia, Mtoto wa Yesu.

Mama Tunu Pinda (kulia) ambaye ni miongoni mwa Wanakwaya wa Matakatifu Theresia Mtoto yesu wakiimba mbele ya Mgeni Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu katika uzinduzi wa Albamu ya Kwaya ya Mtakatifu Theresia, Mtoto Yesu.

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU

Na:  Mwandishi wetu

Kuimba kuna nguvu kubwa; kuimba ni kusali mara mbili, wenzetu mmekuewa watumishi wa Mungu kwa njia ya uimbaji na kazi mnayoifanya ya utume inawasaidia mpate neema na baraka kubwa.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene wakati wa uzinduzi wa Albamu ya Mtakatifu Theresia, Mtoto wa Yesu inayoitwa Mungu asiye shindwa iliyofanyika katika Parokia ya Nzinje Mjini Dodoma.

“Kwaya hii ya Mtakatifu Theresia, Mtoto yesu ndio anayoimbia Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mama Tunu Pinda, amechagua jambo zuri sana la kufanya baada ya Kustaafu”.

Previous articleTASAC YATOA ELIMU YA ULINZI, USALAMA NA UTUNZAJI MAZINGIRA MOROGORO
Next articleKAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YARIDHISHWA NA UBORESHWAJI WA MIUNDIOMBINU YA HIFADHI YA TAIFA KILIMANJARO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here