Home LOCAL WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI, NAIBU MAWAZIRI NA MAKATIBU WA KUU...

WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI, NAIBU MAWAZIRI NA MAKATIBU WA KUU JIJINI DODOMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 08, 2022 ameongoza kikao kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na baadhi ya watendaji wa Serikali kwenye ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!