Home LOCAL UZINDUZI WA BARABARA BABATI MJINI PAMOJA MAGHALA YA KUHIFADHIA CHAKULA MKOANI MANYARA

UZINDUZI WA BARABARA BABATI MJINI PAMOJA MAGHALA YA KUHIFADHIA CHAKULA MKOANI MANYARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kuashiria uzinduzi wa Vihenge na Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Chakula katika hafla iliyofanyika Babati mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo ya Ujenzi wa Vihenge na Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Chakula katika hafla iliyofanyika Babati mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Vihenge na Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Chakula mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Babati mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wakati akikagua Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Chakula mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Babati mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Tamisemi Anjellah Kairuki kuashiria uzinduzi wa barabara za lami za Babati mjini km 8.1 kwenye hafla iliyofanyika Babati Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Tamisemi Anjellah Kairuki, pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi wa barabara za lami za Babati mjini km 8.1 kwenye hafla iliyofanyika Babati Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Babati Mjini mara baada ya kuzindua Mtandao wa barabara za lami za Mji huo Mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.

Previous articleTUMIA NISHATI JADIDIFU, PUNGUZA GHARAMA ZA UMEME
Next articleWAKULIMA TUMIENI FURSA YA UWEPO WA VIWANDA KUONGEZA UZALISHAJI WA MALIGHAFI – MHE. KIGAHE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here