Home BUSINESS UJUMBE WA ARIPO WATEMBELEA MJI WA SERIKALI MTUMBA

UJUMBE WA ARIPO WATEMBELEA MJI WA SERIKALI MTUMBA

Ujumbe kutoka Shirika la Miliki Ubunifu Kanda ya Afrika (ARIPO)ukiongozwa na mwenyeji wake Bw. Godfrey Nyaisa, Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), umetembelea mji wa Serikali unaojengwa eneo la Mtumba jijini Dodoma tarehe 02 Novemba, 2022 na kujionea ujenzi wa majengo ya wizara mbalimbali unavyoendelea ikiwa ni pamoja na jengo la Wizara ya Uwekezaji,7 Viwanda na Biashara ambao ujenzi wake unatarajiwa kukamilika ifikapo Oktoba, 2023.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here