Home LOCAL RAIS SAMIA AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA COP27, SHARM EL SHEIKH NCHINI MISRI

RAIS SAMIA AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA COP27, SHARM EL SHEIKH NCHINI MISRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali katika Mkutano wa kujadili mabadiliko ya Tabianchi COP27 unaofanyika katika Mji wa Sharm El Sheikh nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika moja ya mkutano uliojadili masuala ya misitu na Tabianchi katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wa kujadili mabadiliko ya Tabianchi COP27 unaofanyika katika Mji wa Sharm El Sheikh nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022.

Previous articleRAIS SAMIA AHUDHURIA MKUTANO WA 27 NCHI WANACHAMA WA MKATABA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU YA TABIANCHI COP27 NCHINI MISRI
Next articleRAIS MWINYI AITAKA BENKI KUU KUWEZESHA DHAMANA ZA MIKOPO YA MIRADI YA MAENDELEO ZANZIBAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here