Home LOCAL  RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA MISRI...

 RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA MISRI KATIKA MJI WA SHARM EL SHEIKH NCHINI MISRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El-Sisi mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Rais El- Sisi katika Mji wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 09 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Ujumbe wake akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El-Sisi kwenye Ofisi ya Rais El-Sisi katika Mji wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 09 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El-Sisi mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Rais El- Sisi katika Mji wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 09 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El-Sisi baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Ofisi ya Rais El-Sisi katika Mji wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 09 Novemba, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here