Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKISALIMIANA BA WANANCHI WA WILAYA YA CHEMBA 

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKISALIMIANA BA WANANCHI WA WILAYA YA CHEMBA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Wilaya ya Chemba alipokuwa njiani akirejea Chamwino Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi Mkoani Arusha tarehe 27 Novemba, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here